KALENDA YA MATUKIO YA
SHULE 2018
| 
TAREHE  | 
TUKIO | 
WAHUSIKA | 
| 
16.10.2018 | 
Kikao Cha Walimu Cha Mwezi Octoba | 
Walimu Wote | 
| 
01.11.2018 | 
Kikao Cha UWAWA | 
Wajumbe Wote Wa UWAWA | 
| 
02.11.2018 | 
Kikao Cha Kamati Ya Shule | 
Wajumbe Wote Wa Kamati Ya Shule | 
| 
16.11.2018 | 
Kikao Cha UWAWA | 
Wajumbe Wote Wa UWAWA | 
| 
19.11.2018 | 
Kikao cha walimu cha mwezi Novemba | 
Walimu wote | 
| 
22.11.2018 Na  
23.11.2018 | 
Mtihani Wa Taifa Darasa La Nne | 
Darasa La Nne Wote | 
| 
26.11.2018 | 
Mitihani Ya Kumaliza Muhula | 
Walimu Na Wanafunzi Wote | 
| 
30.11.2018 | 
Mkutano Wa Wanafunzi Wote | 
Utawala Na Wanafunzi Wote | 
| 
04.12.2018 Na  
05.12.2018 | 
Kuandaa Shamba La Mazao Ya Chakula La Wanafunzi | 
Walimu Wa Madarasa Na Wanafunzi Wote | 
| 
07.12.2018 | 
Kufunga Shule | 
Walimu Wote Na wanafunzi Wote | 
| 
09.12.2018 | 
Sikukuu Ya Uhuru Wa Tanganyika | 
Wote | 
| 
25.12.2018 Na  
26.12.2018 | 
Sikukuu Ya Christimas | 
Wote | 

 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni